Kama bado unamaswali kuhusu wanafunzi wa
mataifa zingine ama juu ya SSU kwa jumla
unaweza kujua mengi ukifuatia:
Center for International Programs and
Activities
(CIPA), ikiongozwa na
profesa wa historia Dk.
John Lorentz,
inayehusika sana na kusaidia wanafunzi
wa mataifa zingine wataokuja SSU. Dr.
Lorentz na CIPA wanashirikisha pia mambo
zingine nyngi inachopatikana huku katika
SSU ili kuokoleza maingiano na fanaka ya
mambo ya taaluma wakiwa huku. CIPA
wanataka kuhakikishia wewe na wanafunzi
wetu wa mataifa zingine yakuwa watapata
huduma ya kibinafsi sanasana inaopasa
maisha yao binafsi, elimu na lango yao
la mwito wakiwa huku.
Bw.
Rick Merb ndio anayeshirikia
uungamaji wa wanafunzi wetu wa mataifa
zingine katika afisi ya ukiri. Bw. Merb
ndiye atakayehusikia na kuchukua
mahitaji yeyote kutoka kwako
inachohitajika kwa uungamaji ili kudoea
huku SSU. Naye atakutolea na kukupostia
hati ya mwanafunzi ndio uje Marekeni.
Unaweza pia kupambana na Dk.
Stylianos Hadjiyannis,
(Skype name: Hadjiyannis),
profesa wa masomo ya userikali na pia
uhusiano kati ya mataifa tena ni makamu
mkuu wa CIPA. Naye pia ndiye anasimamia
chama cha wanafunzi wa mataifa zingine
kwa sasa. Unaweza kumpata kwa nambari ya
simu 1-740-351-3445.